NEW VIDEO DIAMOND PLATINUMS FEAT P SQUARE.

Hii imekuwa video iliyosambaa zaidi mitandaoni baad aya kutolewa kama tangazo kuwa msanii Diamond Playnumz anatoa kazi yake mpya aliyofanya na wasanii wa kimataifa kutoka Nigeria P Square. Leo Diamond ameandika haya Katika Ukurasa wake wa Instagram: “My People!!!!!!!!! Subscribe to my Youtube Channel now so that you can be the first one to watch the HIT from SIMBA ft P-SQUARE!!!! (Najua unakiu kias gani….haya Jiunge na Channel yangu ya YOUTUBE sasa ili uwe mtu wa kwanza kushuhudia Mshine yangu Mpya Nilowashirikisha P- SQUARE! ) Cc @peterpsquare @rudeboypsquare #SimbaKaseMa” Hii ni miongoni mwa collabo zilizosubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki wa bongo fleva,nyingini ni pamoja na collabo yake na Neyo na WizKid.

For More Music Updates And News FIND US ON:

TWITTER: @Tuipate

FACEBOOK: Tuipate

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment