Wananchi wamempeleka polisi mama wa mtoto kisa mtoto ni mwarabu.


June 20 2016  Geah Habib kupitia Hekaheka ya Clouds FM  ametuletea Hekaheka kutokea Buguruni Dar es salam ambapo mama amepelekwa polisi na wananchi kisa mtoto anayedaiwa kuwa ni wa kwake ni mwarabu.

Mama alifika maeneo hayo nyakati za usiku na watu wakawa na mashaka naye wakamwambia aende kwa mjumbe……..

>>>’shida yake yeye ni kwamba anamuhitaji ndugu yake alikuwa bungoni lakini alipofika alikuwa ameshahama na kuna ndugu zake wengine akaomba kulala kwa sababu hawezi kufika mbezi kwa usiku huo, nikamwambia twende kituo cha polisi hapo zogo ndio likaanza’:-Mjumbe

>>>kwa nini mnakuwa washamba hapa Dar es salaam hamna watu waliozaa na wahindi au waarabu mpaka mnakuja kunishangaa mimi, hapa nishaadhalilishwa sana kwa hiyo twende polisi nikamshtaki aliyenidhalilisha‘:-Mama wa mtoto
Unaweza kusikiliza kwa kubonyeza play hapa chini

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment